- dhahabu
- [Swahili Word] dhahabu[Swahili Plural] dhahabu[English Word] gold[English Plural] golds[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Swahili Definition] 1. dini kama jiwe lilicho ghali sana linachotumiwa kutengeneza vitu mbalimbali kama mikufu, saa n.k. 2. rangi ya dini, baina ya manjano na kahawia[Swahili Example] mikufu ya dhahabu [Masomo 167][English Example] gold necklace------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.